Vidakuzi vimelemazwa katika kivinjari chako.
Tafadhali wezesha vidakuzi ili utumie BKMS® System.
Kwa maelezo zaidi kuhusu vidakuzi, tafadhali bofya hapa.

Moja ya kanuni zetu za msingi za kampuni ni "tutatii sheria zinazohusika na mwongozo wa kampuni" (utiifu). Tunahakikisha kuwa unaweza kutuamini kwa tabia yetu inayotii sheria. Yaani, utiifu ni kipengele muhimu katika ufanisi wetu thabiti mara kama kampuni.
Kwa hivyo, ni muhimu kwetu kukabiliana na kosa la ukiukaji moja kwa moja na mapema iwezekanavyo. Kwanza tunaweza kufanikisha hili kwa kupokea ripoti kuhusu kosa la ukiukaji. Pili, tunakupa fursa ya kutafuta ushauri kuhusu masuala yanayohusiana na utiifu wa kanuni yanayoathiri kampuni.
Mfumo wa mtandaoni wa kutoboa siri unapatikana kwa kusudi hili. Iwe unatumia mfumo kutoa habari au kupata habari: Maelezo yako yatashughulikiwa kwa usiri kabisa na kutumika bila kukutambulisha ukipenda. Ili kuturuhusu tuwasiliane nawe tukiwa na maswali kuhusu ripoti yako, tunapendekeza usanidi kisanduku pokezi. Ukitutumia ripoti kupitia mfumo wa BKMS, utapokea ulinzi kamili wa kanuni za Sheria ya Ulinzi wa Mtoboa Siri (Whistleblower Protection Act).
Tafadhali tumia mfumo huu wa mtandaoni wa kutoboa siri kwa uwajibikaji. Hupaswi kuutumia vibaya kuwashutumu watu wengine. Kwa hivyo, unapaswa tu kutupatia habari ambazo unaamini kuwa ni sahihi kadri ya ufahamu na imani yako.
Mfumo huu wa mtandaoni wa kutoboa siri umewekwa ili kuripoti masuala yanayohusiana na utiifu. Tafadhali kumbuka kwamba haturuhusu uwasilishaji wa masuala mengine kupitia mfumo huu.
Vituo vingine vyovyote vya kuwasilisha ripoti au kuuliza maswali (k.m. maafisa wa utiifu) vinavyopatikana pamoja na mfumo huu wa mtandaoni wa kutoboa siri vitaendelea kutumika.

- Kwa nini ninapaswa kuwasilisha ripoti?
- Ni masuala gani yanayoweza kushughulikiwa kupitia mfumo wa kuripoti wa mtandaoni?
- Ni utaratibu upi wa kuripoti suala au kuuliza swali, ninawezaje kusanidi kisanduku pokezi?
- Nitapokea jibu vipi na wakati gani?
- Data yangu italindwaje ninapotumia mfumo wa kuripoti wa mtandaoni?